
Goodluck Gozbert
Singer


Goodluck Gozbert presents the music video for Mungu hapokei rushwa. Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": https://www.youtube.com/watch?v=rag27LQpBkY&list=PLMsJvhadvBjoasbYufbh2Borjbs03kBkK&index=2 Follow Goodluck Gozbert Instagram: https://www.instagram.com/goodluckgozbert/?hl=en Subscribe to YouTube Channel: https://www.youtube.com/channel/UC06LJwFOreisG0hf-V3SxZA Mungu hapokei rush lyrics Yeah Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana Na wengine tuna damu mbaya, mabifu kama yote Mtu hujamkosea, anatamani ufe Wengine bwana we, tulipewaga sura Mtu akikukuona, akalinganisha hufanani Wewe unadhani angepewa oxygene Yangu angeminya, angeminya nifie mbali Wewe unadhani angepewa kesho yako wee Kwanza angefinya, angefinya ufie mbali Ila mungu wee, hajui kukosea Ametupa thamani, tulioitwa vikaragosi Ila mungu wee, mwingi wa huruma Ametupa vicheko, vicheko bila manoti Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa Aahh uzuri wake) Uzuri ni kwamba (Haongwi eehh) Mungu hapokei rushwa (Angepewa) Angepewa mamilioni (Tungeshushwa chini)tungetupwa mbali sana (Angepewa) Angepewa mamilioni tungetupwa mbali sana Ee eeh eeh Mfano jitu lipate lama za Laiza: lingetuchakaza vibaya Au lipate kama za Dangote, Lipewe kuamua Kesho yako eeh Wengine, Baba zetu walala hoi Wengine, mama zetu hohehahe Wengine, familia zetu choka mbaya Wengine, ndio kabisa mayatima Hakuna anayetujua wala hatuna connection Kusema sababu ni elimu mbona wasomi kibao ni jobless? Tumewekwa Mahali kwa neema ya Mungu Tunavuka Mapito kwa neema ya Mungu Huyu Mungu wee, hajui kukosea Ametupa thamani, tulioitwa vikaragosi Ila mungu wee, mwingi wa huruma Ametupa vicheko, vicheko bila manoti Uzuri ni kwamba (Haongwi eeh) Mungu hapokei rushwa (Uzuri wake) Uzuri ni kwamba (Haongwi eehh) Mungu hapokei rush
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Goodluck Gozbert
Singer