
Goodluck Gozbert
Singer


Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Music Video) Hauwezi Kushindana was inspired By Philip 4:6. The song is off Goodluck Gozbert's New Album "Shukurani" Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": https://www.youtube.com/watch?v=rag27LQpBkY&list=PLMsJvhadvBjoasbYufbh2Borjbs03kBkK&index=2 Follow Goodluck Gozbert Instagram: https://www.instagram.com/goodluckgozbert/?hl=en Subscribe to YouTube Channel: https://www.youtube.com/channel/UC06LJwFOreisG0hf-V3SxZA Credits: Audio: Produza Paulo Video: Director Destro Hauwezi Kushindana Lyrics Hauwezi kushindana, oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima Vita vya maneno kuna watu ni majemedari Ukisema mshindane mbona mikono mtainua Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe Ukiendelea unawapa kichwa hao Basi laza imani rejea vitani Wakikuona waseme umekuwa sugu Acha waongee acha waseme seme Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi Ungejifunza ukimya haunanga hasara Fulani we fulani una shida gani Na uongo wanini Mwogope Mungu Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu Mimi nimeshakwambia #GoodluckGozbert #GozbertMinistries #HauweziKushindana
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Goodluck Gozbert
Singer