Cici
Singer


INTRO Oyeyeyeyeye Yeye, Eeeh Imba Sasa, piga vigelegele, YESU anaweza ,Aaah Ololololo Lololol Oooh , Eeeh eeeh eeeh CHORUS Mpeni Bwana Utukufu na Nguvu, Mpeni Bwana Utukufu na Nguvu, Nasema Mpeni Bwana Utukufu na Heshima, Mpeni Bwana Utukufu na Nguvu, Kumwabudu Bwana kwa uzuri wake, Tetemekeni Mbele zake, Mpeni Bwana Utukufu na Nguvu, Yeye Aliye Mpiga Farao, Kwa mapigo kumi aah!, Mpeni Bwana Utukufu na Nguvu Eeeh , Aligawanya Bahari ya Shamuh, Ikawa Nchi Kavu, Mpeni Bwana Utukufu na Nguvu. Chorus. (Kwa maana, Hakuna Jina jingine Kwetu, Ambalo , Litupasalo sisi kuokolewa)x2 Hilo linapotajwa, Shetani tumbo moto, Huyoo, Amejikwaa Sasa Ameanguka Tiiiiiii! Repeat Chorus. Amina x3 Usifiwe Jehovah! Hao wa misri, na Majoka yao’ Wamegaragazwa na fimbo ya MUSA hoi! (Wapi vigelegele wapi , wapi vigelegele) Eeeh Eeeh Eeeh Eeeh Ametamalaki, (Huku na Huku) Ametamalaki Baba, (Huku naHuku) Bwan ametamalaki Yesu(hukunahuku) Ametamalaki yah yah,(Huku na Huku) Ametamalaki Yeye, (Huku na Huku) Ametamalaki wapi,(Huku na Huku) Ooh! YES Ametamalaki Mbinguni na Duniani (Huku na Huku) (Amejivika uweza na Mamlaka) Chorus (Kwa maana, Hakuna Jina jingine Kwetu, Ambalo , Litupasalo sisi kuokolewa)x2 Hilo linapotajwa, Shetani tumbo moto, Huyoo, Amejikwaa Sasa Ameanguka Tiiiiiii! Repeat Chorus Amina x3 Usifiwe Jehovah! Refrain Litajeni jina MUNGU wetu, (Ndio Jehova Shamah) Mwambie Shetani na Jeshi lake, (Hapa hupati kitu) Litajeni Jina Lake Baba, (Ndio Jehova Shamah) Waambie wachawi na Mashetani, (Hapa hupati kitu) Nasema Kitajeni Jina wana wa MUNGU (Ndio jehova shamah) Mwambie Shetani na Jeshi lake (Hapa upati kitu) Litajeni Jina la YESU yeyeh (Ndio Jehova shamah) Mwambie Shetani na wachawi wote (Hapa hupati kitu) Litajeni Jina la MUNGU wetu, (Ndilo Jehova Shamah) Iambie kuzimu na Mapepo yote, (Hapa hupati kitu) (Ooooh iyeeyeeh Leeeeh) Amina x3 Usifiwe Jehovah! Twende Rukaa Juu x7 (Ruka juu x7) (Yesu x7) (Yesu x7) Wapi vigelegele vya furaha weweeeh, Halleluya Ayayayayayaya Chorus (Kwa maana, Hakuna Jina jingine Kwetu, Ambalo , Litupasalo
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.
Cici
Singer