
Martha Mwaipaja
Singer


Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake. #MarthaMwaipaja#MaumivuYaJaribu#MusicVideo
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Martha Mwaipaja
Singer