


Ni tabibu ni wimbo wa tenzi unao elezea mwema wa Mungu kwenye maisha yetu ni kweli tunaweza kuwa tunapitia mambo magumu kwenye maisha yetu lakini bado yeye ndio Tabibu wa karibu kuliko hata watu ambao kwa akili zetu tunadhani kuwa ni msaada kwetu.#MarthaMwaipaja​#Tabibu​#MusicVideo
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.
Cast information unavailable.