
Fathermoh
Singer


"Ka Hauna" by @Joefes ,@exraytaniua & @fathermoh Stream: https://BlackMarket.lnk.to/kahauna #BlackMarketRecords #Joefes #KaHauna #ExrayTaniua #Fathermoh #MbuziGang Ka Hauna Lyrics: Zurungush kahaga soft dem nakupeana loan Ukibend dish yangu unang’ada Changia ka una doh, nina doh Zinga leo ah hautalamba Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa Unatoa form, na ka ka hauna, ka ka hauna Ka ka hauna, unakaa home Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa Unatoa form, na ka ka hauna, ka hauna Ka ka hauna, unakaa home Yooh mmhh Ye ni solulu, nilidhani hii ni delulu Nikiitwa mi ni kalulu natoka kule kamulu Kafiki dofka ama navuta zote naitisha mpaka Karoaster niko na kiu unaeza niita kamnyota Lakini lazima nimkate nimeitisha mpaka soda Kamogoka namshika neck leo ni murder the case Alafu namuita base leo ni fire at the base Haiwezi kaa offense hata ka anaguess Ashanieka spent juu sijui kuspell Come again my queen it’s not there Na ikiisha narefill it’s not fair ebu fanya your thing Odi machine ninakam ka linggg ka clean Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa Unatoa form, na ka ka hauna, ka ka hauna Ka ka hauna, unakaa home Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa Unatoa form, na ka ka hauna, ka hauna Ka ka hauna, unakaa home Singerudi Egypt kama ningekuwa kairo My only fan na anangoja niende viral Ka ni mtaro hata upige mtaro Looking for Caro alihata daro Ka ni mpeng nitasaka njaro Anipee anipende, ka ni shein basi iende Basi iyee basi itembee Basi iyee basi katambe Tuko tuko biee, tuko biee Nasafisha ka kipara ya Bien Huwezi sema zii,hii ni mbogi ya jane Sahii nina mbao juu alikuja na ten Katen alikuja na ten Zurungush kahaga soft dem nakupeana loan Ukibend dish yangu unang’ada Changia ka una doh, nina doh Zinga leo ah hautalamba Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa Unatoa form, na ka ka hauna, ka ka hauna Ka ka hauna, unakaa home Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa Unatoa form, na ka ka hauna, ka hauna Ka ka hauna, unakaa home Ka Hauna 3 Piece: https://drive.google.com/drive/folders/1xlP
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Fathermoh
Singer