
Zabron Singers
Singer


Wimbo huu maalumu uliandaliwa na kuimbwa siku ya msiba baada ya kifo cha mwanakwaya mwenzetu Ndugu Marco Joseph Bukuru ambae alikuwa ni Mwenyekiti,mwimbishaji na Mwalimu msaidizi kwenye Zabron Singers. Kwa mavumbi tuliumbwa,mavumbini tutarudi. Mwanzo 3:19 #msiba #zabronsingers #imeniumasana
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Zabron Singers
Singer